Mathayo 26:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Bassi ilipokuwa jioni akaketi chakulani pamoja na wale thenashara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kulipokuwa jioni, Yesu akakaa mezani pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kulipokuwa jioni, Yesu akakaa mezani pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kulipokuwa jioni, Yesu akakaa mezani pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Ilipofika jioni, Isa alikuwa ameketi mezani pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Ilipofika jioni, Isa alikuwa ameketi mezani pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama sura |