Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 26:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Wanafunzi wakatenda kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa pasaka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaandaa Pasaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaandaa Pasaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaandaa Pasaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Hivyo wanafunzi wakafanya vile Isa alivyokuwa amewaelekeza, nao wakaandaa Pasaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Hivyo wanafunzi wakafanya kama vile Isa alivyokuwa amewaelekeza, nao wakaandaa Pasaka.

Tazama sura Nakili




Mathayo 26:19
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wale wanafunzi wakaenda zao, wakafanya kama Yesu alivyowaamuru,


Akasema, Enendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie, Mwalimu anena, Majira yaugu i karibu; kwako nitafanya pasaka pamoja na wanafunzi wangu.


Bassi ilipokuwa jioni akaketi chakulani pamoja na wale thenashara.


Ninyi m rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo.


Mama yake akawaambia watumishi, Lo lote atakalowaambieni fanyeni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo