Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Akasema, Enendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie, Mwalimu anena, Majira yaugu i karibu; kwako nitafanya pasaka pamoja na wanafunzi wangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Yeye akawajibu, “Nendeni mjini kwa mwanamume fulani, mkamwambie: ‘Mwalimu anasema, wakati wangu umefika; kwako nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Yeye akawajibu, “Nendeni mjini kwa mwanamume fulani, mkamwambie: ‘Mwalimu anasema, wakati wangu umefika; kwako nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Yeye akawajibu, “Nendeni mjini kwa mwanamume fulani, mkamwambie: ‘Mwalimu anasema, wakati wangu umefika; kwako nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Akajibu, “Nendeni kwa mtu fulani huko mjini, mkamwambie, ‘Mwalimu asema hivi: Saa yangu imekaribia. Nitaiadhimisha Pasaka pamoja na wanafunzi wangu katika nyumba yako.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Akajibu, “Nendeni kwa mtu fulani huko mjini, mkamwambie, ‘Mwalimu asema hivi: Saa yangu imekaribia. Nitaiadhimisha Pasaka pamoja na wanafunzi wangu katika nyumba yako.’ ”

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:18
18 Marejeleo ya Msalaba  

Na kama mtu akiwaambieni neno, semeni, Bwana ana haja nao; na marra moja atawapeleka.

Wala msiitwe wakufunzi; maana mkufunzi wenu yu mmoja, ndiye Kristo.

Bali ninyi nisiitwe Rabbi; maana mwalimu wenu yu mmoja ndiye Kristo, na ninyi nyote ni ndugu.

Wanafunzi wakatenda kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa pasaka.

Mwajua ya kuwa baada ya siku mbili itakuwa pasaka, na Mwana wa Adamu atasalitiwa apate kusulibiwa.

Marra akamwendea Yesu, akasema, Salam, Rabbi, akambusu sana.

Hatta alipokuwa akisema wakaja watu kutoka kwa mkuu wa sunagogi, wakinena, Binti yako amekwisha kufa: ya nini kuzidi kumsumbua mwalimu?

Killa siku nilipokuwa pamoja nanyi hekaluni hamkuninyoshea mikono; lakini saa yenu hii, na mamlaka ya giza.

Na alipokwisha kusema haya, akaenda zake, akamwita dada yake, Mariamu, kwa siri, akisema, Mwalimu yupo, anakuita.

Yesu akajibu, akinena, Saa imefika, atukuzwe Mwana wa Adamu.

HATTA kabla ya siku kuu ya Pasaka, Yesu akijua ya kuwa saa yake imefika atakayotoka katika ulimwengu huu kwenda kwa Baba, akiwa aliwapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapeuda ukomo wa upendo.

MANENO hayo aliyasema Yesu: akainua macho yake kuelekea mbinguni, akanena, Baba, saa ile imekuja. Mtukuze Mwana wako, illi Mwana wako nae akutukuze wewe;

Yesu akamwambia, Mariamu. Yeye akageuka, akamwambia kwa Kiebrania, Rabboni (tafsiri yake Mwalimu).

Bassi wakatafuta kumkamata: lakini hapana aliyenyosha mkono wake illi kumshika kwa sababu saa yake ilikuwa haijaja bado.

Bassi Yesu akawaambia, Haujafika wakati wangu; wakati wenu sikuzote u tayari.

Pandeni ninyi kwenda kushika siku kuu hii; mimi sipandi bado kwenda kushika siku kuu hii: kwa kuwa wakati wangu haujatimia bado.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo