Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Hatta siku ya kwanza ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi wake wakamwendea Yesu, wakamwambia, Wapi unataka tukuandalie uile pasaka?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea Yesu wakamwuliza, “Unataka tukuandalie wapi chakula cha Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea Yesu wakamwuliza, “Unataka tukuandalie wapi chakula cha Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea Yesu wakamwuliza, “Unataka tukuandalie wapi chakula cha Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Siku ya kwanza ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, wanafunzi walimjia Isa wakamuuliza, “Unataka twende wapi ili tukuandalie mahali pa kula Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Siku ya kwanza ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, wanafunzi walimjia Isa wakamuuliza, “Unataka twende wapi ili tukuandalie mahali pa kula Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:17
12 Marejeleo ya Msalaba  

Tokea wakati huo akawa akitafuta nafasi ajiate kumsaliti.

Wanafunzi wakatenda kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa pasaka.

Yesu akajibu, akamwambia, Hayo yaache sasa: kwa kuwa hivi imetupasa kutimiza haki yote. Bassi akamwacha.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo