Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 26:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Tokea wakati huo akawa akitafuta nafasi ajiate kumsaliti.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 na tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta nafasi ya kumsaliti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 na tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta nafasi ya kumsaliti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 na tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta nafasi ya kumsaliti.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Isa.

Tazama sura Nakili




Mathayo 26:16
6 Marejeleo ya Msalaba  

akasema, Nini mtakayonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vijiande thelathini vya fedha.


Hatta siku ya kwanza ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi wake wakamwendea Yesu, wakamwambia, Wapi unataka tukuandalie uile pasaka?


Nao waliposikia wakafurahi, wakaahidi kumpa fedha. Akatafuta njia ya kumsaliti wakati wa kufaa.


Akaahidi, akatafuta nafasi kumsaliti kwao pasipo kuwapo makutano.


Na Paolo alipokuwa akitoa hoja zake katika khabari ya haki na kiasi na hukumu itakayokuja, Feliki akafanya khofu akajihu, Sasa enenda zako, nami nikipata wasaa nitakuita tena.


Lakini kwa khabari za Apollo, ndugu yetu, nalimsihi sana aende kwenu pamoja nao ndugu, nae hakupenda kabisa kwenda sasa; lakini atakwenda sitakupopata nafasi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo