Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Maana kwa kunimwagia mwili wangu marhamu hii, ametenda hivi illi kuniweka tayari kwa maziko yangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Huyu mama amenimiminia marashi ili kunitayarisha kwa maziko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Huyu mama amenimiminia marashi ili kunitayarisha kwa maziko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Huyu mama amenimiminia marashi ili kunitayarisha kwa maziko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Alipomiminia haya manukato kwenye mwili wangu, amefanya hivyo ili kuniandaa kwa ajili ya maziko yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Alipomiminia haya manukato kwenye mwili wangu, amefanya hivyo ili kuniandaa kwa ajili ya maziko yangu.

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ametenda alivyoweza; amenipaka mwili marhamu kwa ajili ya maziko yangu.

HATTA sabato ilipokwisha kupita, Mariamu Magdalene na Mariamu wa Yakobo na Salome walinunua manukato wapate kwenda kumpaka.

Na siku ya sabato wakastarehe kama ilivyoamriwa.

Bassi Yesu alisema, Mwache, ameyaweka haya kwa siku ya maziko yangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo