Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 IKAWA Yesu alipomaliza maneno haya yote, akawaambia wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Yesu alipomaliza kusema hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Yesu alipomaliza kusema hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Yesu alipomaliza kusema hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Isa alipomaliza kusema hayo yote, akawaambia wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Isa alipomaliza kusema hayo yote, akawaambia wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:1
3 Marejeleo ya Msalaba  

IKAWA Yesu alipomaliza maneno haya, akatoka Galilaya akafika mipaka ya Yahudi, ngʼambu ya Yordani.

Ikawa, Yesu alipomaliza maneno haya, makutano wakashangaa kwa mafundisho yake:

Na Pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu; wengi wakapanda toka inchi yote pia kwenda Yerusalemi kabla ya Pasaka, illi wajitakase.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo