Mathayo 25:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Marra wakaondoka wanawali wale wote, wakazitengeneza taa zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Hapo wale wasichana wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Hapo wale wasichana wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Hapo wale wasichana wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao. Tazama sura |