Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 25:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

45 Nae atawajibu, akinena, Amin, nawaambieni, Kadiri msivyomtendea mmojawapo katika hawo walio wadogo, na mimi hamkunitendea.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Naye atawajibu, ‘Nawaambieni kweli, kila mlipokataa kumtendea mambo haya mmojawapo wa hawa wadogo, mlikataa kunitendea mimi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Naye atawajibu, ‘Nawaambieni kweli, kila mlipokataa kumtendea mambo haya mmojawapo wa hawa wadogo, mlikataa kunitendea mimi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Naye atawajibu, ‘Nawaambieni kweli, kila mlipokataa kumtendea mambo haya mmojawapo wa hawa wadogo, mlikataa kunitendea mimi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 “Naye atawajibu, ‘Amin nawaambia, kwa jinsi hamkumtendea mmoja wa hawa ndugu zangu walio wadogo, hamkunitendea mimi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 “Naye atawajibu, ‘Amin nawaambia, kwa jinsi ambavyo hamkumtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, hamkunitendea mimi.’

Tazama sura Nakili




Mathayo 25:45
16 Marejeleo ya Msalaba  

Ampokeae nabii kwa kuwa yu nabii, atapata thawabu ya nabii; nae ampokeae mwenye haki kwa kuwa yu mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki.


Na mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambieni. Kadiri mlivyomtendea mmojawapo katika hawo ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.


Ndipo hawo pia watajibu, wakinena, Bwana, lini tulipokuona wewe una njaa, au una kiu, au u mgeni, au u uchi, au u mgonjwa, au u kifungoni, tusikukhudumu?


Na hawo watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele: bali wenye haki katika uzima wa milele.


Akasema, U nani Bwana? Akasema, Mimi ndimi Yesu unaeniudhi wewe.


Na hivyo, mkiwatenda dhambi ndugu zenu na kuwajeruhi dhamiri zao zilizo dhaifu, mnamtenda dhambi Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo