Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 25:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Lini tulipokuona u mgonjwa, an kifungoni, tukakujia?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Tena ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa tukakutunza, au ukiwa kifungoni tukakutembelea?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Tena ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa tukakutunza, au ukiwa kifungoni tukakutembelea?’

Tazama sura Nakili

Mathayo 25:39
2 Marejeleo ya Msalaba  

Lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika?

Na mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambieni. Kadiri mlivyomtendea mmojawapo katika hawo ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo