Mathayo 25:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192138 Lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Lini tulikuona ukiwa mgeni tukakukaribisha, au ukiwa uchi tukakuvisha nguo? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Lini tulikuona ukiwa mgeni tukakukaribisha, au ukiwa uchi tukakuvika? Tazama sura |