Mathayo 25:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19213 Wale waliokuwa wapumbavu walizitwaa taa zao, wasitwae na mafuta pamoja nao: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba, Tazama sura |