Mathayo 25:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192127 bassi, ilikupasa kuiweka fedha yangu kwao wawekao fedha ya watu; nami nikija ningalipata iliyo yangu na faida yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Ilikupasa basi, kuiweka fedha yangu katika benki, nami ningelichukua mtaji wangu na faida yake! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Ilikupasa basi, kuiweka fedha yangu katika benki, nami ningelichukua mtaji wangu na faida yake! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Ilikupasa basi, kuiweka fedha yangu katika benki, nami ningelichukua mtaji wangu na faida yake! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Vyema basi, ingekupasa kuweka fedha yangu kwa watoa riba, ili nirudipo, nichukue ile iliyo yangu na faida yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Vyema basi, ingekupasa kuweka fedha yangu kwa watoa riba, ili nirudipo, nichukue ile iliyo yangu na faida yake. Tazama sura |