Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 25:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Bwana wake akajibu, akamwambia, Mtumishi mbaya na mlegevu, ulijua ya kuwa navuna nisipopanda, nakusanya nisipotawanya;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 “Bwana wake akamwambia, ‘Wewe ni mtumishi mwovu na mvivu! Unajua kuwa mimi huvuna mahali ambapo sikupanda, na hukusanya pale ambapo sikutawanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 “Bwana wake akamwambia, ‘Wewe ni mtumishi mwovu na mvivu! Unajua kuwa mimi huvuna mahali ambapo sikupanda, na hukusanya pale ambapo sikutawanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 “Bwana wake akamwambia, ‘Wewe ni mtumishi mwovu na mvivu! Unajua kuwa mimi huvuna mahali ambapo sikupanda, na hukusanya pale ambapo sikutawanya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 “Bwana wake akajibu, ‘Wewe mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua kwamba ninavuna mahali nisipopanda na kukusanya mahali nisipotawanya mbegu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 “Bwana wake akajibu, ‘Wewe mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua kwamba ninavuna mahali nisipopanda na kukusanya mahali nisipotawanya mbegu.

Tazama sura Nakili

Mathayo 25:26
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo bwana wake akamwita, akamwambia, Ewe mtumishi mwovu, nalikusamehe deni ile yote, uliponisihi:

Watu wengi katika makutano wakatandaza nguo zao njiani; wengine wakikata matawi ya miti, wakiyatandaza njiani.

Akaja na yule aliyepokea talanta moja, akasema, Bwana, nalitambua ya kuwa wewe u mtu mgumu, wavuna usipopanda, wakusanya usipotawanya:

nikaogopa, nikaenda nikaificha talanta yako chini ya inchi: tazama, unayo iliyo yako.

bassi, ilikupasa kuiweka fedha yangu kwao wawekao fedha ya watu; nami nikija ningalipata iliyo yangu na faida yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo