Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 25:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Baada ya siku nyingi yuaja bwana wa watumishi wale, akafanya hesabu nao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 “Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 “Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 “Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 “Baada ya muda mrefu, yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 “Baada ya muda mrefu, yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.

Tazama sura Nakili

Mathayo 25:19
11 Marejeleo ya Msalaba  

Bali mtumishi yule mbaya akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia;

Bali yule aliyepokea moja, alikwenda akafukua chini, akaiticha fedha ya bwana wake.

Hatta bwana arusi alipokawia, wote wakasinzia wakalala.

Kama vile Daud aunenavyo ukheri wake mtu yule ambae Mungu amhesabia kuwa na haki pasipo matendo;

Kwa maana imetupasa sisi sote kudhihirishwa mbele ya kiti cha hukumu ya Kristo, illi killa mtu apokee kadiri alivyotenda kwa mwili, vikiwa vyema au vikiwa vibaya.

MSIWE waalimu wengi, ndugu zangu, mkijua ya kuwa tutapata hukumu kubwa zaidi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo