Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 25:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; killa mtu kwa kadri ya uwezo wake; marra akasafiri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: Mmoja fedha talanta tano, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: Mmoja fedha talanta tano, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: mmoja fedha talanta tano, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Mmoja akampa talanta tano, mwingine talanta mbili, na mwingine talanta moja. Kila mmoja alipewa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Mmoja akampa talanta tano, mwingine talanta mbili, na mwingine talanta moja. Kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri.

Tazama sura Nakili




Mathayo 25:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

Alipoanza kuifanya, akaletewa mtu mmoja awiwae nae talanta elfu kumi.


Sikilizeni mfano mwingine. Kulikuwa na mtu mwenye nyumba, nae alipanda mizabibu, akazungusha uzio, akachimba shimo ndani yake, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri.


na yule asiyejua, nae amefanya yastahiliyo mapigo, atapigwa mapigo machache. Killa aliyepewa vingi kwake huyu vitatakwa vingi: nae waliyemkabidhi vingi, kwake yeye watataka vingi zaidi.


Illakini killa mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; na mke asikose kumstahi mumewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo