Mathayo 25:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Maana ni mfano wa mtu atakae kusafiri kwenda inchi ya ugeni, aliwaita watumishi wake, akaweka kwao mali zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 “Wakati huo itakuwa kama mtu mmoja aliyetaka kusafiri ngambo: Aliwaita watumishi wake, akawakabidhi mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 “Wakati huo itakuwa kama mtu mmoja aliyetaka kusafiri ngambo: Aliwaita watumishi wake, akawakabidhi mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Wakati huo itakuwa kama mtu mmoja aliyetaka kusafiri ng'ambo: aliwaita watumishi wake, akawakabidhi mali yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “Tena, ufalme wa mbinguni ni kama mtu aliyetaka kusafiri, naye akawaita watumishi wake na kuweka mali yake kwenye uangalizi wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama mtu aliyetaka kusafiri, naye akawaita watumishi wake na kuweka mali yake kwenye uangalizi wao. Tazama sura |