Mathayo 25:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Bassi kesheni, maana hamwijui siku wala saa ajapo Mwana wa Adamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. Tazama sura |