Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 24:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Haya yote ni mwanzo wa utungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua mtoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Haya yote yatakuwa ndio mwanzo wa uchungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Haya yote yatakuwa ndio mwanzo wa utungu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 24:8
12 Marejeleo ya Msalaba  

Taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme utapigana na ufalme: kutakuwa na matetemeko ya inchi mahali mahali; kutakuwa na njaa, na fitina: Hayo ndio mwanzo wa utungu.


Lakini kabla ya haya yote watawakamateni na kuwaudhini, watawapelekeni mbele ya sunagogi na gerezani, mkichukuliwa mbele ya wafalme na maliwali kwa ajili ya jina langu.


Maana wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafula, kama vile utungu umjiavyo niwenye mimba; nao hawataokolewa.


HAYA bassi, enyi matajiri! lieni yowe kwa sababu ya mashaka yanayokujieni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo