Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 24:51 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

51 atamkata vipande viwili, ataweka sehemu yake pamoja na wanafiki: ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 Atamwadhibu vibaya na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 Atamwadhibu vibaya na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 Atamwadhibu vibaya na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Atamkata vipande vipande na kumweka pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.

Tazama sura Nakili




Mathayo 24:51
9 Marejeleo ya Msalaba  

Mfalme akawaambia watumishi, Mfungeni miguu na mikono, mchukueni mkamtupe katika giza la nje: ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.


bwana wa mtumishi yule atakuja siku asiyotazamia, na saa asiyotambua,


Na mtumishi yule asiyefaa, mtupeni mbali katika giza ya nje; huko kutakuwa kilio na kusaga meno.


bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje; ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.


bassi, bwana wa mtumwa yule atakuja siku asiyodhani na saa asiyojua, atamkata vipande vipande, atampa sehemu yake pamoja na wasioamini.


Hapo kutakuwako kulia na kusaga meno, mtakapomwona Ibrahimu na Isaak na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, na ninyi wenyewe nikitupwa nje.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo