Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 24:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 Kwa sababu hii na ninyi mwe tayari; kwa sababu saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Kwa hiyo, nanyi pia muwe tayari, kwa maana Mwana wa Mtu atakuja saa msiyoitazamia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Kwa hiyo, nanyi pia muwe tayari, kwa maana Mwana wa Mtu atakuja saa msiyoitazamia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Kwa hiyo, nanyi pia muwe tayari, kwa maana Mwana wa Mtu atakuja saa msiyoitazamia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Kwa hiyo ninyi pia hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Kwa hiyo ninyi pia hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia.

Tazama sura Nakili




Mathayo 24:44
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hatta magharibi; hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.


Kesheni bassi: kwa maana hamwijui saa atakayokuja Bwana wenu.


Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angalijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliacha nyumba yake kuvunjwa.


Nao walipokuwa wakienda kununua, bwana arusi akaja, nao waliokuwa tayari wakaingia pamoja nae arusini: mlango ukafungwa.


Bassi kesheni, maana hamwijui siku wala saa ajapo Mwana wa Adamu.


Lakini jueni haya ya kuwa mwenye nyumba angaliijua saa atakayokuja mwizi, angalikesha asiache nyumba yake kuvunjwa.


Na ninyi, bassi, mwe tayari, kwa sababu saa msiyodhani, Mwana wa Adamu yuaja.


Kwa hiyo kesheni killa wakati, mkiomba mpate kuhesabiwa kuwa mmestahili kuponea haya yote yatakayokuwa, na kusimama mahali penu mbele ya Mwana wa Adamu.


Upole wenu ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.


Msinungʼunikiane, ndugu, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.


Na tufurahi tukashangilie tukampe ulukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo