Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 24:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Kwa maana kama vile siku ziie zilizokuwa kabla ya gharika watu walivyokuwa wakila, wakinywa, wakioa, wakioza, hatta siku ile aliyoingia Nuhu katika safina,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Maana nyakati hizo, kabla ya gharika kuu, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka Noa alipoingia ndani ya ile safina.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Maana nyakati hizo, kabla ya gharika kuu, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka Noa alipoingia ndani ya ile safina.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Maana nyakati hizo, kabla ya gharika kuu, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka Noa alipoingia ndani ya ile safina.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Kwa maana siku zile kabla ya gharika, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, hadi siku ile Nuhu alipoingia katika safina.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Kwa maana siku zile kabla ya gharika, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Nuhu alipoingia katika safina.

Tazama sura Nakili

Mathayo 24:38
16 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaozwi, bali huwa kama malaika wa Mungu mbinguni.

Kiisha nitaiambia roho yangu, Ee roho yangu, nna mali nyingi ulizojiwekea akiba kwa miaka mingi: pumzika, hassi, ule, unywe, ufurahi.

Bali mtumwa yule akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia kuja; akaanza kuwapiga wajoli wake, wanaume na wanawake, na kula na kulewa;

Bassi, jiangalieni, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi na ulevi, na masumbufu ya maisha haya,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo