Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 24:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 vivyo hivyo na ninyi, myaonapo haya yote, fahamuni ya kuwa yu karibu, tena milangoni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Hali kadhalika nanyi mtakapoona mambo haya yote yakitendeka, jueni kwamba yuko karibu sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Hali kadhalika nanyi mtakapoona mambo haya yote yakitendeka, jueni kwamba yuko karibu sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Hali kadhalika nanyi mtakapoona mambo haya yote yakitendeka, jueni kwamba yuko karibu sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Vivyo hivyo, mnapoyaona mambo haya yote, mtambue kwamba wakati u karibu, hata malangoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yote, mnatambua kwamba wakati u karibu, hata malangoni.

Tazama sura Nakili




Mathayo 24:33
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa mtini jifunzeni mfano: tawi lake likiisha kuwa laini na kuchanua majani, mwafahamu ya kuwa wakati wa hari ni karibu;


Kwa kuwa bado kitambo kidogo sana, Yeye ajae atakuja, wala hatakawia.


Msinungʼunikiane, ndugu, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.


Mwisho wa mamho yote umekaribia; bassi, mwe na akili, mkakeshe katika sala:


Tazama, nasimama mlangoni, nabisha: mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula pamoja nae, na yeye pamoja nami.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo