Mathayo 24:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Maana po potemzoga utakapokuwapo, ndipo tai watakapokusanyika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Pale ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Pale ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Pale ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Kwa maana popote ulipo mzoga, huko ndiko wakusanyikapo tai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Kwa maana popote ulipo mzoga, huko ndiko wakusanyikapo tai. Tazama sura |