Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 24:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Bassi wakiwaamhieni, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 “Basi mtu yeyote akiwaambia, ‘Yule kule nyikani,’ msiende huko. Au akisema, ‘Yuko kwenye chumba,’ msisadiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 “Kwa hiyo mtu yeyote akiwaambia, ‘Yule kule nyikani,’ msiende huko. Au akisema, ‘Yuko kwenye chumba,’ msisadiki.

Tazama sura Nakili




Mathayo 24:26
6 Marejeleo ya Msalaba  

Angalieni, nimetangulia kuwaambieni.


Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hatta magharibi; hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.


SIKU zile akaondokea Yohana Mbatizaji akikhubiri katika jangwa ya Yahudi, akinena,


Wewe si vnle Mmisri ambae kabla ya siku hizi aliwafitinisha wale watu elfu nne, walioitwa Wauaji, akawaongoza jangwani?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo