Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 24:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Wakati huo mtu akiwaambieni, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko huko, msisadiki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 “Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 “Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 “Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Al-Masihi huyu hapa!’ au, ‘Al-Masihi yuko kule,’ msisadiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Wakati huo kama mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Al-Masihi huyu hapa!’ Au, ‘Al-Masihi yuko kule,’ msisadiki.

Tazama sura Nakili




Mathayo 24:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na wakati huo mtu akiwaambieni, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko huko, msisadiki:


Akasema, Jibadharini, msidanganyike; kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakinena, Mimi ndiye, na, Majira yamekaribia. Bassi, msiwafuate hawo.


Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, nanyi hamnipokei: mwingine akija kwa jina lake mwenyewe mtampokea huyo.


Lakini yule akida akawasikiliza nakhodha na mwenye merikebu zaidi ya yale aliyoyasema Paolo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo