Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 24:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, pendo la watu wengi litapoa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu, upendo wa watu wengi utapoa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa,

Tazama sura Nakili




Mathayo 24:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na manabii wengi wa uwongo wataondoka, watadanganya wengi.


Lakini astahimiliye hatta mwisho, ndiye atakaeokoka.


Kwa hiyo wekeeni mbali uchafu wote na ubaya uzidio, kapokeeni kwa upole neno lililopandwa, liwezalo kuokoa roho zenu.


Usiogope mambo yatakavokupata: tazama mshitaki atawatupa baadhi yenu gerezani illi mjaribiwe, nanyi mtakuwa na mateso siku kumi. Uwe mwaminifu hatta kufa, nami nitakupa taji ya uzima.


Najua matendo yako, ya kuwa huwi baridi wala hu moto; ingekuwa kheri kama ungekuwa baridi au moto.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo