Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 24:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 YESU akaenda zake, akatoka hekaluni; wanafunzi wake wakamwendea illi kumwonyesha majengo ya hekalu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Yesu alitoka hekaluni, na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake walimwendea, wakamwonesha majengo ya hekalu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Yesu alitoka hekaluni, na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake walimwendea, wakamwonesha majengo ya hekalu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Yesu alitoka hekaluni, na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake walimwendea, wakamwonesha majengo ya hekalu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Isa akatoka Hekaluni na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonesha majengo ya Hekalu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Isa akatoka Hekaluni na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonyesha majengo ya Hekalu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 24:1
11 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokwisha kuingia hekaluni, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwendea alipokuwa akifundisha, wakinena, Kwa mamlaka gani unafanya haya? Na nani aliyekupa mamlaka haya?


Kwa maana nawaambieni, Hamtaniona kamwe tangu leo, hatta mtakaposema, Ameharikiwa ajae kwa jina la Bwana.


Bassi Wayahudi wakasema, Hekalu hii ilijengwa katika muda wa miaka arubaini na sita, nawe utaisimamisha kwa siku tatu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo