Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 23:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Bali ninyi nisiitwe Rabbi; maana mwalimu wenu yu mmoja ndiye Kristo, na ninyi nyote ni ndugu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Lakini nyinyi msiitwe kamwe ‘Mwalimu,’ maana mwalimu wenu ni mmoja tu, nanyi nyote ni ndugu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Lakini nyinyi msiitwe kamwe ‘Mwalimu,’ maana mwalimu wenu ni mmoja tu, nanyi nyote ni ndugu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Lakini nyinyi msiitwe kamwe ‘Mwalimu,’ maana mwalimu wenu ni mmoja tu, nanyi nyote ni ndugu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 “Lakini ninyi msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa sababu mnaye Bwana mmoja na ninyi nyote ni ndugu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 “Lakini ninyi msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa sababu mnaye Bwana Mwenyezi mmoja, na ninyi nyote ni ndugu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 23:8
34 Marejeleo ya Msalaba  

Yamtosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita mwenye nyumba Beelzebul, je, si zaidi wale walio nyumbani mwake?


Alipokuwa akisema, wingu jeupe likawatia uvuli; sauti ikatoka katika lile wingu, ikinena, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, niliyependezwa nae; msikieni yeye.


Wala msiitwe wakufunzi; maana mkufunzi wenu yu mmoja, ndiye Kristo.


na kusalimiwa sokoni, na kuitwa na watu, Rabbi, Rabbi.


Yuda, yule mwenye kumsaliti, akajibu, akasema, Ni mimi, Rabbi? Akamwambia, Wewe umesema.


Marra akamwendea Yesu, akasema, Salam, Rabbi, akambusu sana.


Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyieni? Yule kipofu akamwambia, Rabbi, nipate kuona tena.


Petro akakumbuka khabari yake, akamwabia, Rabbi, tazama, mtini ulioulaani umekauka.


Alipokuja, marra akamwendea, akasema, Rabbi, Rabbi; akambusu sana.


Petro akajibu, akamwambia Yesu, Rabbi, ni vizuri sisi kuwapo hapa: na tufanye vibanda vitatu, kimoja chako wewe, kimoja cha Musa, na kimoja eha Eliya.


lakini nimekuombea, illi imani yako isipunguke; nawe uongokapo, wathubutishe ndugu zako.


Wakamwambia, Rabbi (tafsiri yake, Mwalimu), unakaa wapi? Akawaambia, Njoni muone.


Nathanaeli akajibu, akamwambia, Rabbi, wewe u Mwana wa Mungu, ndiwe mfalme wa Israeli.


Wale wanafunzi wakamwambia, Rabbi, juzi juzi tu Wayahudi walikuwa wakitafuta kukupiga mawe, nawe unakweuda huko tena?


Yesu akamwambia, Mariamu. Yeye akageuka, akamwambia kwa Kiebrania, Rabboni (tafsiri yake Mwalimu).


huyu alikuja kwa Yesu usiku, akamwambia, Rabbi, twajua ya kuwa u mwalimu, umetoka kwa Mungu; kwa maana hakuna mtu awezae kuzifanya ishara hizi uzifanyazo wewe, illa Mungu awe pamoja nae.


Wakamwendea Yohana, wakamwambia, Rabbi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ngʼambu ya Yardani, uliyemshuhudia wewe, huyu nae anabatiza, na watu wote wanamwendea.


Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabbi, ule.


Hatta walipomwona ngʼambu ya bahari, wakamwambia, Rabbi, umekuja lini hapa?


Wanafunzi wake wakamwuliza, wakinena, Rabbi, ni nani aliyetenda dhambi, mtu huyu au wazazi wake, hatta akazaliwa kipofu?


Si kwamba tunatawala imani yenu; hali tu wasaidizi wa furaha yenu; maana mnasimama kwa imani.


Kwa maana hatujikhubiri nafsi zetu, hali Kristo Yesu Bwana; na sisi wenyewe kuwa watumishi wenu kwa ajili ya Kristo.


ambae kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unakwitwa,


tokea sasa, si kama mtumwa, baii lieha ya mtumwa, ndugu mpendwa, kwangu mimi sana, na kwako wewe zaidi sana, katika mwili na katika Bwana.


MSIWE waalimu wengi, ndugu zangu, mkijua ya kuwa tutapata hukumu kubwa zaidi.


wala si kama wajifanyao mabwana juu ya mitaa yao, bali kwa kujifanya mfano kwa lile kundi.


Mimi Yohana, ndugu yenu na mwenye kushiriki pamoja nanyi katika mateso na ufalme na uvumilivu wa Yesu Kristo, nalikuwa katika kisiwa kiitwacho Patmo, kwa ajili ya Neno la Mungu, na kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu.


Nikaanguka mbele ya miguu yake, nimsujudie, akaniambia, Angalia, usifanye hivi: mimi mjoli wako na mmoja wa ndugu zako walio na ushuhuda wa Yesu. Msujudu Mungu: kwa maana ushuhuda wa Yesu ni roho ya unabii.


Akaniambia, Angalia, usifanye hivyo; mimi mjoli wako, na wa ndugu zako manabii na wa wale washikao maneno ya kitabu hiki. Msujuduni Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo