Mathayo 23:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 hupenda mahali pa mbele katika karamu, na viti vya mbele katika sunagogi, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya heshima katika masunagogi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya heshima katika masunagogi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya heshima katika masunagogi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi. Tazama sura |