Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 23:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Kwa maana hufunga mizigo mizito isiyochukulika na kuwatwika watu mabegani mwao; wasitake wenyewe kuisogeza kwa kidole chao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Hufunga mizigo mizito na kuwatwika watu mabegani, lakini wao wenyewe hawataki kunyosha hata kidole wapate kuibeba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Hufunga mizigo mizito na kuwatwika watu mabegani, lakini wao wenyewe hawataki kunyosha hata kidole wapate kuibeba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Hufunga mizigo mizito na kuwatwika watu mabegani, lakini wao wenyewe hawataki kunyosha hata kidole wapate kuibeba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Wao hufunga mizigo mikubwa na kuiweka mabegani mwa watu, lakini wao wenyewe hawako radhi hata kuinua kidole ili kuisogeza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Wao hufunga mizigo mikubwa na kuiweka mabegani mwa watu, lakini wao wenyewe hawako radhi hata kuinua kidole ili kuisogeza.

Tazama sura Nakili

Mathayo 23:4
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mnalipa zaka za mnaana na bizari na kumini, mkaacha mambo makuu ya sharia, hukumu, na rehema, na imani: haya imewapasa kuyafanya, na mengine yale msiyaache.

bassi, yo yote watakayowaambieni myashike; yashikeni na kuyatenda: lakini kwa mfano wa matendo yao, msitende: maana hunena wala hawatendi.

Akasema, Na ninyi wana sharia, ole wenu, kwa sababu mwawachukuza watu mizigo isiyochukulika, na ninyi wenyewe hamwigusi mizigo hiyo kwa kimojawapo cha vidole vyenu.

Bassi sasa mbona mnamjaribu Mungu na kuweka nira juu ya shingo za wanafunzi, ambayo baba zetu na sisi hatukuweza kuichukua.

Kwa maana ilimpendeza Roho Mtakatifu na sisi, tusiwatwike mzigo illa hayo yaliyo faradhi,

Kwa maana hatta wao wenyewe waliotahiriwa hawaishiki sharia; bali wanataka ninyi mtahiriwe, wapate kujisifia miili yenu.

Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kuzisinka amri zake: na amri zake si nzito.

Lakini nawaambia ninyi, nao wengine walio katika Thuatera, wo wote wasio na mafundisho haya, wasiozijua fumbo za Shetani kama vile wasemavyo, Sitaweka juu yen umzigo mwungine.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo