Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 23:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Amin, nawaambieni, Mambo haya yote yatakijia kizazi hiki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Amin, nawaambia, haya yote yatakuja kwa kizazi hiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Amin, nawaambia, haya yote yatakuja juu ya kizazi hiki.

Tazama sura Nakili




Mathayo 23:36
5 Marejeleo ya Msalaba  

Watakapowaudhi katika mji huu, kimbilieni mwingine: kwa maana ni kweli nawaambieni, Hamtaimaliza miji yote ya Israeli, hatta ajapo Mwana wa Adamu.


Amin, nawaambieni, Hakitapita kizazi hiki, hatta yatakapokuwa haya yote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo