Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 23:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Kajazeni kipimo cha baba zenu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Haya, kamilisheni ile kazi wazee wenu waliyoianza!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Haya, kamilisheni ile kazi wazee wenu waliyoianza!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Haya, kamilisheni ile kazi wazee wenu waliyoianza!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Haya basi, kijazeni kipimo cha dhambi ya baba zenu!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Haya basi, kijazeni kipimo cha dhambi ya baba zenu!

Tazama sura Nakili

Mathayo 23:32
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hivi mwajishuhudia nafsi zenu, ya kwamba ninyi ni wana wao waliowana manabii.

Enyi nyoka, mazao wa majoka, mtaikimbiaje hukumu ya jehannum?

wakituzuia tusiseme na mataifa wapate kuokolewa; illi watimize dhambi zao siku zote; lakini hasira imewafikia hatta mwisho.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo