Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 23:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Hivi mwajishuhudia nafsi zenu, ya kwamba ninyi ni wana wao waliowana manabii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Hivyo mnathibitisha nyinyi wenyewe kwamba nyinyi ni watoto wa watu waliowaua manabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Hivyo mnathibitisha nyinyi wenyewe kwamba nyinyi ni watoto wa watu waliowaua manabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Hivyo mnathibitisha nyinyi wenyewe kwamba nyinyi ni watoto wa watu waliowaua manabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Hivyo mnajishuhudia wenyewe kwamba ninyi ni wana wa wale waliowaua manabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Hivyo mnajishuhudia wenyewe kwamba ninyi ni wana wa wale waliowaua manabii.

Tazama sura Nakili




Mathayo 23:31
11 Marejeleo ya Msalaba  

na kunena, Kama sisi tungalikuwako zamani za haha zetu, hatungalishirikiana nao katika damu ya manabii.


Kajazeni kipimo cha baba zenu.


Kwa sababu hii, angalieni, mimi natuma kwenu manabii na wenye hekima na waandishi: na wengine wao mtawaua na mtawasulibi, na wengine wao mtawapiga katika sunagogi zenu, na mtawafukuza mji kwa mji;


Ee Yerusalemi, Yerusalemi, wenye kuwaua manabii, na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! marra ngapi nimetaka kuwakusanya pamoja watoto wako, kama vile kuku avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake chini ya mbawa zake, wala hamkukubali!


Akamwambia, Kwa kinywa chako nitakuhukumu, ee mtumishi mwovu wewe. Ulijua ya kuwa mimi mtu mgumu, naondoa nisichoweka, navuna nisichopanda;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo