Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 23:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 na kunena, Kama sisi tungalikuwako zamani za haha zetu, hatungalishirikiana nao katika damu ya manabii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Mwasema: ‘Kama sisi tungaliishi nyakati za wazee wetu hatungalishirikiana nao katika mauaji ya manabii!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Mwasema: ‘Kama sisi tungaliishi nyakati za wazee wetu hatungalishirikiana nao katika mauaji ya manabii!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Mwasema: ‘Kama sisi tungaliishi nyakati za wazee wetu hatungalishirikiana nao katika mauaji ya manabii!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Nanyi mwasema, ‘Kama tungeishi wakati wa baba zetu, hatungeshiriki katika kumwaga damu ya manabii!’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Nanyi mwasema, ‘Kama tungaliishi wakati wa baba zetu, tusingalikuwa tumeshiriki katika kumwaga damu ya manabii!’

Tazama sura Nakili




Mathayo 23:30
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki? kwa kuwa mnayajenga makaburi ya manabii, na kuyapamba maziara ya wenye haki,


Hivi mwajishuhudia nafsi zenu, ya kwamba ninyi ni wana wao waliowana manabii.


Waangalieni Israeli walivyokuwa kwa jinsi ya mwili; wale wazilao dhabihu, je! hawana shirika na madhbahu?


Na tumaini letu kwa ajili yenu ni imara, tukijua ya kuwa vile vile kama mlivyo washiriki wa yale mateso, vivyo hivyo m washiriki wa zile faraja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo