Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 23:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 bassi, yo yote watakayowaambieni myashike; yashikeni na kuyatenda: lakini kwa mfano wa matendo yao, msitende: maana hunena wala hawatendi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Kwa hiyo shikeni na kutekeleza chochote watakachowaambieni. Lakini msiyaige matendo yao, maana hawatekelezi yale wanayoyahubiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Kwa hiyo shikeni na kutekeleza chochote watakachowaambieni. Lakini msiyaige matendo yao, maana hawatekelezi yale wanayoyahubiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Kwa hiyo shikeni na kutekeleza chochote watakachowaambieni. Lakini msiyaige matendo yao, maana hawatekelezi yale wanayoyahubiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 hivyo inawapasa kuwatii na kufanya kila kitu wanachowaambia. Lakini msifuate yale wanayotenda, kwa sababu hawatendi yale wanayohubiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 hivyo inawapasa kuwatii na kufanya kila kitu wanachowaambia. Lakini msifuate yale wanayotenda, kwa sababu hawatendi yale wanayohubiri.

Tazama sura Nakili

Mathayo 23:3
16 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwendea yule wa pili, akasema vilevile. Nae akajibu akasema, Nakwenda, Bwana: asiende.

Waandishi na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa:

Kwa maana hufunga mizigo mizito isiyochukulika na kuwatwika watu mabegani mwao; wasitake wenyewe kuisogeza kwa kidole chao.

Petro na mitume wakajibu, wakaaena, Imetupasa kumtii Mungu kuliko wana Adamu.

KILLA nafsi itumikie mamlaka makuu; kwa maana hapana mamlaka yasiyotoka kwa Mungu: na mamlaka yaliyopo yameamriwa na Mungu.

wenye mfano wa utawa, lakini wakikana nguvu zake; ujiepushe na hao.

Wanakiri kwamha wanamjua Mungu, bali kwa matendo yao wanamkana, ni wenye machukizo, maasi, na kwa killa tendo jema hawafai.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo