Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 23:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki? kwa kuwa mnayajenga makaburi ya manabii, na kuyapamba maziara ya wenye haki,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 “Ole wenu waalimu wa sheria na Mafarisayo, wanafiki! Mnajenga makaburi ya manabii na kuyapamba makaburi ya watu wema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 “Ole wenu waalimu wa sheria na Mafarisayo, wanafiki! Mnajenga makaburi ya manabii na kuyapamba makaburi ya watu wema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 “Ole wenu waalimu wa sheria na Mafarisayo, wanafiki! Mnajenga makaburi ya manabii na kuyapamba makaburi ya watu wema.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 “Ole wenu, walimu wa Torati na Mafarisayo, ninyi wanafiki! Mnajenga makaburi ya manabii na kuyapamba makaburi ya wenye haki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 “Ole wenu, walimu wa Torati na Mafarisayo, ninyi wanafiki! Mnajenga makaburi ya manabii na kuyapamba makaburi ya wenye haki.

Tazama sura Nakili

Mathayo 23:29
5 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa yamepambwa, bali kwa ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote.

Vivyo hivyo ninyi nanyi, kwa nje mwaonekana na watu kuwa wenye haki, hali kwa ndani mmejaa unafiki na maasi.

na kunena, Kama sisi tungalikuwako zamani za haha zetu, hatungalishirikiana nao katika damu ya manabii.

Ndugu, mniwie radhi, niseme pasipo khofu mbele yenu khabari za baba yetu mkuu Daud, ya kuwa alifariki akazikwa, na kaburi lake liko kwetu hatta leo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo