Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 23:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Vivyo hivyo ninyi nanyi, kwa nje mwaonekana na watu kuwa wenye haki, hali kwa ndani mmejaa unafiki na maasi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Hali kadhalika nyinyi mnaonekana na watu kwa nje kuwa wema, lakini kwa ndani mmejaa unafiki na uovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Hali kadhalika nyinyi mnaonekana na watu kwa nje kuwa wema, lakini kwa ndani mmejaa unafiki na uovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Hali kadhalika nyinyi mnaonekana na watu kwa nje kuwa wema, lakini kwa ndani mmejaa unafiki na uovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Vivyo hivyo, kwa nje ninyi mnaonekana kwa watu kuwa wenye haki, lakini kwa ndani mmejaa unafiki na uovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Vivyo hivyo, kwa nje ninyi mnaonekana kwa watu kuwa wenye haki, lakini kwa ndani mmejaa unafiki na uovu.

Tazama sura Nakili

Mathayo 23:28
13 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa yamepambwa, bali kwa ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote.

Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki? kwa kuwa mnayajenga makaburi ya manabii, na kuyapamba maziara ya wenye haki,

Tena matendo yao yote huyatenda illi kutazamwa na watu: hupanua fulakteria zao, huongeza matamvna ya mavazi yao;

Akawaambia, Ninyi ndio watu wanaodai kuwa wenye haki mbele ya wana Adamu, lakini Mungu anajua mioyo yenu; kwa maana lililotukuka kwa wana Adamu, ni chukizo mbele ya Mungu.

Na Wayahudi wakajigeuza pamoja nae, hatta Barnaba nae akachukuliwa na unafiki wao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo