Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 23:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Viongozi vipofu! Mnatoa nzi katika kinywaji, lakini mnameza ngamia!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Viongozi vipofu! Mnatoa nzi katika kinywaji, lakini mnameza ngamia!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Viongozi vipofu! Mnatoa nzi katika kinywaji, lakini mnameza ngamia!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Ninyi viongozi vipofu, mnachuja kiroboto lakini mnameza ngamia!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Ninyi viongozi vipofu, mnachuja kiroboto lakini mnameza ngamia!

Tazama sura Nakili




Mathayo 23:24
11 Marejeleo ya Msalaba  

Waacheni hawo; ni vipofu, viongozi wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumhukia shimoni wote wawili.


Nawaambieni tena, Ni rakhisi ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.


Ole wenu viongozi vipofu, ninyi mnenao, Mtu atakaeapa kwa hekalu, si kitu; bali mtu atakaeapa kwa dhababu ya hekalu, amejifunga.


Au utamwambiaje ndugu yako, Niache niondoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! imo boriti ndani ya jicho lako?


Bassi wakamchukua Yesu kutoka kwa Kayafa hatta Praitorio; ikawa alfajiri; lakini wao wenyewe hawakuingia ndani ya Praitorio, wasije wakatiwa najis, bali waile Pasaka.


Bassi wakapiga kelele marra ya pili, wote pia, wakinena, Si huyu, bali Barabba. Nae Barabba alikuwa mnyangʼanyi.


Inchi ikamsaidia mwanamke, inchi ikafunua kinywa chake, ikaumeza mto ule alioutoa yule joka katika kinywa chake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo