Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 23:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Nae aapae kwa mbingu, yuapa kwa kiti cha Mungu, na kwa yeye akaae juu yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Na anayeapa kwa mbingu ameapa kwa kiti cha enzi cha Mungu, na kwa huyo aketiye juu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Na anayeapa kwa mbingu ameapa kwa kiti cha enzi cha Mungu, na kwa huyo aketiye juu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Na anayeapa kwa mbingu ameapa kwa kiti cha enzi cha Mungu, na kwa huyo aketiye juu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Naye anayeapa kwa mbingu, anaapa kwa kiti cha enzi cha Mungu na kwa yeye anayeketi kwenye kiti hicho.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Naye aapaye kwa mbingu, huapa kwa kiti cha enzi cha Mungu na kwa yeye aketiye juu ya kiti hicho.

Tazama sura Nakili




Mathayo 23:22
5 Marejeleo ya Msalaba  

bali mimi nawaambieni, Usiape kabisa; hatta kwa mbingu, kwa maana ndio kiti cha enzi cha Mungu;


Mbingu ni kiti changu cha enzi, Na inchi ni mahali pa kutia miguu yangu: Ni nyumba gani mtakayonijengea? asema Bwana: Au ni mahali gani nitakapostarebe?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo