Mathayo 23:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Nae aapae kwa hekalu, yuapa kwalo, na kwa yeye akaae ndani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Naye mtu anayeapa kwa Hekalu, anaapa kwa hilo Hekalu na kwa huyo akaaye ndani yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Naye mtu aapaye kwa Hekalu, huapa kwa hilo Hekalu na kwa huyo akaaye ndani yake. Tazama sura |