Mathayo 23:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Bassi yeye aapae kwa madhbahu, yuapa kwayo na kwa vitu vyote vilivyo juu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Anayeapa kwa madhabahu ameapa kwa hiyo madhabahu, na kwa chochote kilichowekwa juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Anayeapa kwa madhabahu ameapa kwa hiyo madhabahu, na kwa chochote kilichowekwa juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Anayeapa kwa madhabahu ameapa kwa hiyo madhabahu, na kwa chochote kilichowekwa juu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Basi, mtu anayeapa kwa madhabahu, anaapa kwa hayo madhabahu na vitu vyote vilivyo juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kwa hiyo, mtu aapaye kwa madhabahu, huapa kwa hayo madhabahu na vitu vyote vilivyo juu yake. Tazama sura |