Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 23:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Waandishi na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 “Waalimu wa sheria na Mafarisayo wana mamlaka ya kufafanua sheria ya Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 “Waalimu wa sheria na Mafarisayo wana mamlaka ya kufafanua sheria ya Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 “Waalimu wa sheria na Mafarisayo wana mamlaka ya kufafanua sheria ya Mose.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Walimu wa Torati na Mafarisayo wameketi kwenye kiti cha Musa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 “Walimu wa Torati na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa,

Tazama sura Nakili




Mathayo 23:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

bassi, yo yote watakayowaambieni myashike; yashikeni na kuyatenda: lakini kwa mfano wa matendo yao, msitende: maana hunena wala hawatendi.


Akawaambia katika mafundisho yake, Jibadharini na waandishi, wapendao kutembea wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa masokoni,


Jihadharini na waandishi wapendao kutembea wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa masokoni, na kuketi mbele katika sunagogi, na mahali palipo mbele katika karamu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo