Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 23:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Tena, Mtu atakaeapa kwa madhbahu, si kitu; bali mtu atakaeapa kwa sadaka iliyo juu yake, amejifunga.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Tena mwasema ati mtu akiapa kwa madhabahu si kitu; lakini akiapa kwa zawadi iliyowekwa juu ya madhabahu, kiapo hicho humshika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Tena mwasema ati mtu akiapa kwa madhabahu si kitu; lakini akiapa kwa zawadi iliyowekwa juu ya madhabahu, kiapo hicho humshika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Tena mwasema ati mtu akiapa kwa madhabahu si kitu; lakini akiapa kwa zawadi iliyowekwa juu ya madhabahu, kiapo hicho humshika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Pia mnasema, ‘Mtu akiapa kwa madhabahu, si kitu; lakini mtu akiapa kwa sadaka iliyo juu ya madhabahu, amefungwa kwa kiapo chake’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Pia mnasema, ‘Mtu akiapa kwa madhabahu, si kitu; lakini mtu akiapa kwa sadaka iliyo juu ya madhabahu, amefungwa kwa kiapo chake’

Tazama sura Nakili

Mathayo 23:18
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wenu viongozi vipofu, ninyi mnenao, Mtu atakaeapa kwa hekalu, si kitu; bali mtu atakaeapa kwa dhababu ya hekalu, amejifunga.

Wapumbavu ninyi na vipofu: maana ipi iliyo kubwa, ile dhahabu, au lile hekalu liitakasalo dhababu?

Wapumbavu ninyi na vipofu; maana ipi kubwa, ile sadaka, au ile madhbahu iitakasayo sadaka?

Bali ninyi hunena, Mtu akimwambia baba yake au mama yake, Ni Korban (yaani kimewekwa wakfu) kitu changu cho chote kikupasacho kufaidiwa nacho:

Tena namshuhudia killa mtu atahiriwae, kwamba ni wajibu wake kuitimiza sharia yote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo