Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 23:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Wapumbavu ninyi na vipofu: maana ipi iliyo kubwa, ile dhahabu, au lile hekalu liitakasalo dhababu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Enyi vipofu wapumbavu! Kipi kilicho cha maana zaidi: Dhahabu au hekalu linalofanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Enyi vipofu wapumbavu! Kipi kilicho cha maana zaidi: Dhahabu au hekalu linalofanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Enyi vipofu wapumbavu! Kipi kilicho cha maana zaidi: dhahabu au hekalu linalofanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ninyi vipofu wapumbavu! Ni kipi kilicho kikuu zaidi: ni ile dhahabu, au ni lile Hekalu linaloifanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ninyi vipofu wapumbavu! Ni kipi kilicho kikuu zaidi: ni ile dhahabu, au ni lile Hekalu linaloifanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?

Tazama sura Nakili

Mathayo 23:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Tena, Mtu atakaeapa kwa madhbahu, si kitu; bali mtu atakaeapa kwa sadaka iliyo juu yake, amejifunga.

Wapumbavu ninyi na vipofu; maana ipi kubwa, ile sadaka, au ile madhbahu iitakasayo sadaka?

Maana yeye atakasae nao wanaotakaswa wote pia watoka kwa mmoja. Kwa ajili hii haoni haya kuwaita ndugu zake;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo