Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 23:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Ole wenu viongozi vipofu, ninyi mnenao, Mtu atakaeapa kwa hekalu, si kitu; bali mtu atakaeapa kwa dhababu ya hekalu, amejifunga.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 “Ole wenu viongozi vipofu! Nyinyi mwasema ati mtu akiapa kwa hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini akiapa kwa dhahabu ya hekalu, kiapo hicho kinamshika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 “Ole wenu viongozi vipofu! Nyinyi mwasema ati mtu akiapa kwa hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini akiapa kwa dhahabu ya hekalu, kiapo hicho kinamshika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 “Ole wenu viongozi vipofu! Nyinyi mwasema ati mtu akiapa kwa hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini akiapa kwa dhahabu ya hekalu, kiapo hicho kinamshika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 “Ole wenu, viongozi vipofu! Ninyi mwasema, ‘Mtu akiapa kwa Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini mtu akiapa kwa dhahabu ya Hekalu, amefungwa kwa kiapo chake.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 “Ole wenu, viongozi vipofu! Ninyi mwasema, ‘Mtu akiapa kwa Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini mtu akiapa kwa dhahabu ya Hekalu, amefungwa kwa kiapo chake.’

Tazama sura Nakili

Mathayo 23:16
14 Marejeleo ya Msalaba  

Waacheni hawo; ni vipofu, viongozi wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumhukia shimoni wote wawili.

Ole wenu waandisbi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mnakula nyumba za wajane, na kwa unafiki mnasali sala ndefu; kwa hiyo mtapokea hukumu iliyo kubwa mno.

Wapumbavu ninyi na vipofu: maana ipi iliyo kubwa, ile dhahabu, au lile hekalu liitakasalo dhababu?

Wapumbavu ninyi na vipofu; maana ipi kubwa, ile sadaka, au ile madhbahu iitakasayo sadaka?

Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia.

Ewe Farisayo kipofu, takasa kwanza ndani ya kikombe na chungu, illi nje yake nayo ipate kuwa safi.

Tena namshuhudia killa mtu atahiriwae, kwamba ni wajibu wake kuitimiza sharia yote.

Lakini zaidi ya yote, ndugu, msiape kiapo cho chote, kwa mbingu wala kwa inchi; bali ndio yenu iwe ndio, na sio yenu iwe sio, msije mkaangukia hukumu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo