Mathayo 23:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Na ye yote atakaejikuza, atadhiliwa; na ye yote atakaejidhili, atakuzwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kwa kuwa yeyote anayejikweza atashushwa, na yeyote anayejinyenyekeza atakwezwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kwa kuwa yeyote anayejikweza atashushwa, na yeyote anayejinyenyekeza atakwezwa. Tazama sura |