Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 23:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Nae aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Aliye mkubwa miongoni mwenu ni lazima awe mtumishi wenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Aliye mkubwa miongoni mwenu ni lazima awe mtumishi wenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Aliye mkubwa miongoni mwenu ni lazima awe mtumishi wenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Yeye aliye mkuu kuliko ninyi nyote miongoni mwenu atakuwa mtumishi wenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Yeye aliye mkuu kuliko ninyi nyote miongoni mwenu atakuwa mtumishi wenu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 23:11
11 Marejeleo ya Msalaba  

Wala msiitwe wakufunzi; maana mkufunzi wenu yu mmoja, ndiye Kristo.


Akaketi chini akawaita wathenashara akawaambia, Mtu atakae kuwa wa kwanza atakuwa wa mwisho kuliko wote, na mkhudumu wa wote.


Maana, ingawa nimekuwa huru kwa watu wote, nalijifanya mtumwa wa wote, illi nipate watu wengi zaidi.


Wao wakhudumu wa Kristo? (nanena kiwazimu), mimi zaidi; kwa kazi kuzidi sana; kwa mapigo kupita kiasi; kwa vifungo kuzidi sana; kwa mauti marra nyingi.


Kwa maana hatujikhubiri nafsi zetu, hali Kristo Yesu Bwana; na sisi wenyewe kuwa watumishi wenu kwa ajili ya Kristo.


Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali khudumianeni kwa upendo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo