Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 23:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Wala msiitwe wakufunzi; maana mkufunzi wenu yu mmoja, ndiye Kristo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye mwalimu mmoja tu, ndiye Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye Mwalimu mmoja tu, ndiye Al-Masihi.

Tazama sura Nakili




Mathayo 23:10
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nae aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu.


Bali ninyi nisiitwe Rabbi; maana mwalimu wenu yu mmoja ndiye Kristo, na ninyi nyote ni ndugu.


Wala msimwite mtu baba yenu duniani: maana Baba yeuu yu mmoja, aliye mbinguni.


Akasema, Enendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie, Mwalimu anena, Majira yaugu i karibu; kwako nitafanya pasaka pamoja na wanafunzi wangu.


Pana tofauti za khuduma, na Bwana vule yule;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo