Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 23:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 KIISHA Yesu akasema na makutano na wanafunzi wake, akinena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Kisha Yesu akauambia umati wa watu pamoja na wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Kisha Yesu akauambia umati wa watu pamoja na wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Kisha Yesu akauambia umati wa watu pamoja na wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Kisha Isa akaambia wale umati wa watu na wanafunzi wake:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Kisha Isa akauambia umati wa watu pamoja na wanafunzi wake:

Tazama sura Nakili




Mathayo 23:1
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaita makutano tena, akawaambia, Nisikieni nyote, fahamuni.


HUKO nyuma mkutano wa watu, watu elfu nyingi walipokusanyika hatta wakakanyagana, akaanza kuwaambia wanafunzi wake khassa, Jihadharini na chachu ya Mafarisayo, yaani unafiki.


Na mbona ninyi katika nafsi zenu hamwamui yaliyo haki?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo